Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo

Mh Jack Wamboka awasilisha hoja yakumtimua kazini waziri wa kilimo na mifugo Mh Franklin Mithika Linturi.jpg

Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.


Mh Wamboka pamoja na mwanasheria wake, wali weka wazi sababu za kumtaka Waziri Franklin Mithika Linturi afutwe kazi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share