Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"

Charlo ndani ya studio ya SBS

Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.


Charlie Mdogo ni Mkurugenzi wa kampuni ya Beast from the East. Kampuni hiyo ina andaa tamasha ya Bien, msanii wa zamani wa kundi la Sauti Sol.

Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, Charlie Mdogo alifunguka kuhusu maandalizi ya tamasha hiyo pamoja na kile ambacho wapenzi wa muziki wa Afrika wana stahili tarajia usiku wa Jumamosi 4 Mei 2024 ndani ya ukumbi wa Metro Theatre mjini Sydney, Australia.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share