Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya"

Wakenya watoa hisia zao kuhusu maandamano yanayo endelea nchini kwao, mbele ya ubalozi wa Kenya mjini Canberra.jfif

Wakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.


Bw Kinyua alikuwa miongoni mwa wanajumuiya walio hudhuria tukio hilo mbele ya ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Australia.

Alipozungumza na SBS Swahili, alifunguka kuhusu kilicho mshawishi kushiriki katika tukio hilo pamoja na matarajio yake.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share