MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"Play08:16Get the SBS Audio appOther ways to listenApple PodcastsGoogle PodcastsSpotifyDownload (7.57MB) MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, MCA Tricky alifunguka kuhusu alivyo ingia katika tasnia ya ucheshi. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.ShareLatest podcast episodesTaarifa ya Habari 12 Julai 2024Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahariTaarifa ya Habari 11 Julai 2024Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"