Vita vya Australia vilikuwa vipi na kwa nini historia haija vitambua?

The Australian Wars

The Australian Wars Credit: Joseph Mayers/Joseph Mayers Photography

The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia.


Hata kama Australia ni taifa linalo enzi kushiriki kwalo katika vita ng’ambo, bado haija tambua vita vilivyo ifanya kuwa nchi iliyopo leo.

Unaweza tazama makala ya The Australian Wars kupitia SBS On Demand katika lugha tano: Lugha hizo ni Kichina rahisi Chinese, Kiarabu, Kichina cha Jadi, Kivietnam na Kikorea. Makala haya yanapatikana pia kwa maelezo ya sauti au maandishi kwa watu wenye ulemavu wakuona.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share