Wa Australia wa Mataifa ya Kwanza wasema 'Sasa zaidi ya Wakati wowote' upatanisho wa kweli unahitajika

Yukkumbruk Dance Group performing at opening of Reconciliation Week (SBS).PNG

Hii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.


Mada ya mwaka huu ni "Sasa zaidi ya wakati wowote", kuwahamasisha wa Australia waje pamoja kuendelea kupigania kutambuliwa kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, wakati tunashughulikia maswala ambayo yana athiri vibaya jumuiya zao.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.



Share