Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC

Refugees flee  fighting near Goma, Eastern Congo DRC (AAP)

Refugees flee fighting near Goma, Eastern Congo DRC (AAP) Source: AAP

Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.


Katika kijiji kinacho pakana na jimbo la Kivu Kaskazini, watu saba wali uawa na wengine sita kujeruhiw vibaya usiku wa kuamkia Jumatano kufuatia mashambulizi ya mabomu.

Jospin Magambo ni katibu wa ofisi ya mamlaka ya serikali katika eneo la Minova wilayahi Kalehe.

Amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na anakumbusha matukio mengine ya mashambulizi ya mabomu huko Minova, hali ambayo inaongeza wasiwasi kwa raia.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.

Share